Skip to Content

Hazina Ya Ushairi

Mwongozo wa Uchambuzi wa Mashairi kwa Shule za Junia
Author: Erick Omondi
ISBN: 978-9914-9762-4-3
Imarisha uelewa wa ushairi kwa kutumia mwongozo huu wa kina uliobuniwa mahsusi kwa wanafunzi wa Shule za Junia. Kitabu hiki kinafafanua kwa urahisi vipengele muhimu vya ushairi, ikiwemo maudhui, dhamira, mandhari, wahusika, muundo na matumizi ya lugha.
Kikiwa na mifano mbalimbali, uchambuzi wa kina na mazoezi ya kujenga umahiri, Hazina ya Ushairi humwezesha mwanafunzi kuchambua mashairi kwa kujiamini na kujiandaa kikamilifu kwa KJSEA na mitihani mingine ya darasani.

1.00 KSh 1.00 KSh
(Tax excluded)
Terms and Conditions
30-day money-back guarantee
Shipping: 2-3 Business Days