Mbio Za Upepo
Author: Velma Cherop
ISBN: 978-9914-9762-5-0
Kutoka kijiji kidogo cha Iten, Kiprop ana ndoto kubwa ya kuwa mwanariadha wa kimataifa.
Lakini safari yake imejaa changamoto—umaskini, dhihaka, majeraha, na vikwazo vinavyotishia kuzima matumaini yake. Akiwa na bidii, nidhamu na imani katika uwezo wake, anajifunza kuwa mafanikio huanza kwa hatua moja ya ujasiri.
Mbio za Upepo ni hadithi ya kusisimua kuhusu ndoto, uvumilivu, kujituma, na nguvu ya kuendelea mbele hata wakati njia inaonekana ngumu.
301.73 KSh
301.73 KSh
(Tax excluded)