Vita Vya Kizazi
Author: Daniel Okello
ISBN: 978-9914-9762-1-2
Barika ni msichana mwenye ndoto kubwa na moyo wa uthabiti. Licha ya kukumbana na dharau, ubaguzi na changamoto za maisha, anakataa kukata tamaa. Badala yake, anatumia ubunifu, ujasiri na imani katika uwezo wake kuleta mabadiliko katika jamii yake.
Vita vya Kizazi ni hadithi ya kuvutia kuhusu kujiamini, uvumilivu, uvumbuzi, na nguvu ya vijana katika kujenga mustakabali bora. Ni simulizi linalowahamasisha wasomaji kusimama kidete
mbele ya changamoto na kuwa mawakala wa mabadiliko katika jamii zao.
172.42 KSh
172.42 KSh
(Tax excluded)